Jina langu Haji Dilunga
Nimeizaliwa 19 Mach 1973, Dar es Salaam, Tanzania
Kazi yangu ni Uandishi wa habari, utunzi wa vitabu na sinema, Utayarishaji, Uongozaji
Filamu Nilizotunga na kuongoza
1 Uwanja wa dhambi
2 I love You
3 Picnic
4 Bunge la Wachawi
5 Zindiko
6 Popobawa
Muda wangu mwingi anatumia kutoa ushauri kwa vijana wenzangu, namna ya kujifahamu na kugundua kwamba kwa wao ni muhimu duniani, napenda kucheza mpira, kutembea kando ya bahari, kusikiliza muziki na kuimba, kuangalia Tv na video, kusoma vitabu vya saikolojia, helpself, dini na friction story.