|
Wengi wanakuwa masikini kutokana na kukata tamaa mapema
Hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa ya maisha hasa baada ya kuona, ni muda mrefu umepita bila ya kufanikiwa katika maisha.
Lazima kila mtu kukubali kuwa maendeleo ya maisha kwa mtu yoyote yanaletwa na mtu mwenyewe na sio kiongozi wa nchi kama baadhi ya watu wanadhani na kudanganywa na wanasiasa.
Hata kama atakuja kiongozi wa nchi unayemtaka, hawezi kukubatia fedha au unyanyua kiwango chako cha maisha na kuwa cha hali ya juu.
Kiongozi wa nchi anasaidia kukuwekea mazingila mazuri ya kuweza kufanya kazi yako katika hali inayotakiwa.
Watanzania wengi hivi sasa wanashindwa kuwa na uwezo wa kifedha,kutokana na kutokuwa na umakini katika maisha yao.Wengi wanapenda kukaa vijiweni na kuzungumza maisha ya watu bila ya kufanya kazi yoyote.katika mazingira kama hayo utakuwa unalalamika kila siku kuwa fulani ana uwezo na wewe huna kitu kutokana na kukaa kijiweni.
Katika maisha lazima kuishi katika hali ya kuamini kuwa hakuna kitu ambacho hakiwezekani kufanyika. ndio unaweza kufanya mambo ya ajabu na wengine kushangaa.
|
|
|
Maisha mapambano lazima kupambana
Maisha ni mapambano ya hali ya juu bila ya kuwa mwangalifu unaweza kushindwa kupambana na maisha hasa kutokana na hali halisi ilivyokuwa hivi sasa.
Kitu chochote kinachotokea katika maisha ni moja ya mitihani ya mwenyezi mungu,unatakiwa kukubali ukweli kwamba hayo ndio maisha yako.
Ukiyakataa na kutaka kuishi kama mtu mwingine kuna khatari ya kushindwa kupambana na maisha na hatimaye kukupotezea mwelekeo wako.
Maisha hayatakiwi kukuendesha kama gari, wewe unatakiwa kuyaendesha maisha unavyotaka sio maisha kukuendesha yanavyotaka wenyewe.
Ukikubali maisha yakuendeshe kama yanavyotaka yenyewe kunakhatari ya kuja kuwa mwizi ama kufanya vitendo vya kinyama kama vile kuua na hatimaye kuishi maisha ya kukimbia kama mkimbizi.
Hivi sasa tunashuhudia vijana wa kiume wakifanyiwa vitendo vya kishoga kwa kufwatisha maisha yanavyotaka badala ya wao kuyapeleka maisha wanavyotaka.
|
|
|
Kwa nini Vijana wanakuwa mashoga?
Zipo sababu nyingi sana zinazowafanya vijana kuwa mashoga, lakini sababu kubwa inayowafanya vijana wengi wa kiume kuwa mashoga ni sababu ya kuyafwatisha maisha yanavyotaka.
Unapozungumzia maisha lazima ukubali kuwa unazungumzia hisia, ndiyo inayomtuma mtu kufanya kile anachohisi na kudhani ni bora katika maisha yake.
Kama hisia yako inatamani kuwa na vitu ambavyo ni vigumu kuvipata, kunauwezekano mkubwa wa kutafuta mbinu ya kuweza kupata vitu hivyo.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kutaka kuiba, kuua, kukubali kufanya vitu vya kishoga ili kuweza kutimiza hisia zako kwa kutaka kupata kile ulichokuwa unatamani na kudhani ni lazima kukipata.
Ushoga hapo zamani hapa Tanzania ulitazamwa kama ni vitendo vya kiarabu na kiislamu lakini waliokuwa wanautazama hivyo walikuwa wanajidanganya kwa sababu ulaya na marekani ndio kulikokuwa na jimbuko la mashoga, mabasha na wasagaji.
Utafiti uliofanywa na wataalam wa nafsi na maisha ya binadamu, umegundua kwamba mbinu zinazowaingiza mashoga katika jamii hiyo utofautina kulingana na nchi wanazotoka, familia wanazotoka na maisha yaliyokulia.
Mashoga wengi wa Tanzania wanasukumwa kuingia katika vitendo kutokana na utashi wa hisia zao katika hali ya kuwa maisha mazuri.
Wengi wanadhani kuwa na gari, nyumba na fedha ni kuwa na maisha mazuri wenye furaha, hiyo si kweli kuwa vitu hivyo sio kuwa na maisha mazuri wenye furaha.
Maisha mazuri wenyewe furaha yanaletwa na kufikili kwetu na sio kitu kingine,hakuna maisha mabaya wala mazuri.Yanaweza kuwa mabaya kama utataka yawe mabaya kama ukitaka yawe mazuri yatakuwa mazuri.
***************************************************
MASHOGA WALIHOJIWA NA MWANDISHI WA MAKALA HAYA WALIKUBALI KUELEZA HISIA ZAO
Kwanza wamebainisha kuwa kuna makundi matano ya mashoga na kuyataja.
(1)Mashoga wanaopenda kufirwa na kuvaa nguo za kike
ambao hawana haja na mwanamke.
(2)Mashoga wanaopenda kufirwa na kufira wenzao,wao wanavaa nguo za kiume.
(3)Mashoga wanaopenda kufirwa lakini wameoa na wanawake na watoto.
(4)Mashoga ambao wanafahamika kama mabasha ambao wanafira wenzao hasa wanaume wenzao na sio wanawake.
(5)Mashoga ambao ni mabasha wanafira wanawake tu, hawa hawana habari na kufira wanaume wenzao.
Wamesema katika makundi hayo kundi kubwa linaloongoza ni kundi namba 3, ndio kundi lilikuwa na wanachama wengi.
wale wajanja wengi wa mjini hapo katika kundi hilo kutokana na kutaka kutimiza hisia zao za kutaka kujuana na kila mtu ndio maana wanajikuta wakifirwa.
Hata hivyo wameweza kuzungumzia namna wanavyopata tabu katika kazi yao ya kufirwa hasa baada ya kumaliza kitendo hicho.
Wanadai kwamba wanashikwa na aibu kubwa mara baada ya kumaliza kufanya kitendo, lakini mara baada ya kupita dakika kama 30 wanaondokwa na aibu hiyo na kutaka kurudia tena mara kwa mara.
Shoga mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Pepe amesema kwamba yeye binafsi anapenda sana kunyonya ume(cock) wa wanaume wenzake, amesema kitu anachopenda ni zile shahawa. Anasema ni tamu sana wakati mwingine anamlazimisha bwana wake kumchua na kutumia shahawa hizo kupaka katika kipande cha mkate na kula na maziwa.
Naye Shoga Jose amesema yeye anatumia shahawa kujipaka mwilini, amesema shahawa ni dawa mzuri ya ngozi inalainisha ngozi na kuwa ngozi inayong'ara.
Shoga Musa anesema yeye anapenda kufirwa mpaka haja kubwa itoke bila ya kufanyiwa hivyo haoni raha ya kufanya kitendo hicho.
Lakini wote ukiwauliza walivyoanza maelezo yao yanaonyesha ni kushindwa kupambana na maisha ya kila siku na baadaye kukubali hisia zao kuwafikisha hapo walipo.
Ingawa baadhi ya tafiti zilizofanywa na wazungu zinaonyesha kuwa malezi ya wazazi yanachangia kwa kiasi kikubwa mtoto kuwa katika hali hiyo, lakini hisia inaonyesha kuchukua nafasi kubwa katika hilo.
|
 |
Kwa wasichana wanakuwa wasagaji?
Usagaji ni nini?
Usagaji ni kitendo cha mwanamke kufanya mapenzi na mwanamke mwenzake.
Wasagaji wameganyika katika makundi manne.
(1)Kuna wasagaji wanaosaga wanawake wanzao na wakati huo huo wao wanafanya mapenzi na wanaume zao.
(2) Wasagaji wengine ni wale wanaosaga wanawake wenzao na hata wanaume zao kwa kuwabembeleza.
(3) Wasagaji wangine wanasaga mashoga tu, wao hawana hamu ya kufanya mapenzi na wanaume yoyote.
(4) Ni mtu anayesagwa ambaye anakuwa hana hamu na mwanaume zaidi ya kusagwa.
Kama ilivyokuwa katika vitendo vya kishoga ndio ilivyokuwa kwa wasagaji ambao wanaongozwa na hisia,hisia ndio zinawatuma kufanya hivyo kwa ajili ya kutaka kufurahisha nafsi zao kwa kudhani ni maisha bora kuliko kuishinda nafsi.
"Kama ukifwatisha nafsi inavyotaka unaweza kufanya vitu vya ajabu" nadhani umesikia watu mbali mbali wakisema hivyo.
Wasagaji wanaweza kutongoza wanawake wenzao kamawanavyofanya wanaume, tena wakishindana na wanaume kutongoza wao wanafanikiwa haraka kuwanasa wanawake wanzao.
@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
Katika web hii tunakaribisha maoni mbali mbali kuhusiana na watu waliokuwa katika jamii hiyo, ndio maana wameandaliwa page yao ya kutaka kutafuta marafiki wa kubadilishana mawazo.
Jamii hiyo sio ya kuikimbia ni jamii ya kutakiwa kuwa nayo karibu na kuishauri vizuri kuweza kuachana na tabia hiyo.wanaofanya kitendo hicho wanakuwa na matatizo ya kisaikolojia zaidi kuliko mambo mengine ndio maana wanashindwa kuishinda hisia.
|